MY CONCERN TO ALL LADIES WHO DESIRE TO BE IN MARRIAGE ONE DAY
"Ndoa bora haitokei pale wapenzi wakamilifu wanapo kutana, bali hutokea pale wapenz wenye mapungufu wanapojifunza kufurahia tofauti zao" Katka ndoa tofauti ndio uimalisha ndoa maana kila mtu alikuja na tabia zake

Hivyo wanawake naombeni muyashike haya kwanza, Mwanamke Degree yako ya first class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubutu wako.
Pili, Mwanamke anae muheshimu mumewe n mwanamke bora ambae kila mwanaume angetaman

kuwa nae.
Tatu, Tabia yako na misimamo yako ndio itakayomfanya mumeo ajute au afurahie kukuoa wewe.
Nne, Kuwa mke bora inakubidi uwe vizuri katika maarifa ya kutawala hasira zako na sio kuwa mtu wa kulipiza visasi.
Tano, Kuwa kiongozi huko kazini kwako, lakini kuwa mke

mnyenyekevu nyumbani kwako na kwa mume wako. Hiyo ni busara.
Sita, Usiweke na mashindano na mumeo, mpe hongera na mtie moyo kwa kila hatua anayopiga katika maisha.
Saba, Kuwa na ubinadamu, sio kosa dogo tu mumeo amefanya utake kulipiza kisasi. Haipendezi.

Nane, Hakuna ubaya kama utakua unakubali kosa pale utakapo kosea. Kuwa mrahisi kukubali kama kweli ulikosea. Na omba radhi inapobidi.
Tisa, Jiandae kumsamehe mumeo pale anapokosea kwa maana mke atoae msamaha kwa mumewe ni mke mwema tofauti na yule aliejaa visasi.

Kumi, Tengeneza maamuzi ya kuwa mke mwema, pasina kuwa na hofu yoyote na Mungu atakubariki.
La mwisho na muhimu tambua kwamba mwanmke aliejaliwa umbo zuri na sura nzuri bila maarifa kichwani anafaa kwa usiku mmoja tu, lakini yule mwenye akili na maarifa anafaa kwa maisha yote