I dodged a bullet once na sitakaa nirudie tena https://twitter.com/b3laze/status/1249301160835547141
tena alikuja na gear ya kutaka mtoto, smh
nikakwambia siwezi zaa na mtu alafu tuishie hivyo, i want to marry the mother of my kid
ndio akaweka gear no mbili... “basi kama vipi njoo ujitambulishe kwetu unioe” I was like wtf!!! bitch you’ve been friend zoning my ass for years
btw huyu binti nimekuwa nikimfatilia toka niko field DIT na kila siku alikuwa ananipiga kalenda
basi bwana maji kupwa maji kujaa... binti kila siku anauliza “unakuja kwetu lini?” na mimi nikaanza kulipiza kila akiuliza na mimi nampiga kalenda
bwana bwana kumbe kalenda zina umuhimu wake mtoto akaanza kubadilika kila tukikutana ana vaa madera... kimoyomoyo nikasema labda anajistiri kwasababu anataka ndoa
shinikizo la kwenda kwao likawa kubwa hadi nikaanza kuogopa... kwasababu sikai nae karibu ikabidi nimtonye mwana anaeishi maeneo hayo ajaribu kunifanyia upelelezi yakinifu
Binti akawa hataki tena tuonane eti kwasababu sina issue nampotezea muda... ‘heh mimi tena?’
Mungu hamtupi mja wake... a secondhand detective akaleta habari kuwa binti ana kibendi ambacho hata kwenye dela hakifichiki tena
kwa namna hiyo nikaepuka balaa la kubambikiwa mtoto ila tbh paka leo naumia kimoyomoyo kwasababu in the end sikufanikiwa kutomba.
You can follow @Msulupwete.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: