Mambo 10 madogomadogo ya kufanya kama unataka kuuteka moyo wa mwanamke unayempenda! (Kuhusu Pesa tuliache kwanza
)
Inawezekana unawa-approach wanakukataa na unadhani ni kwa sababu ya umaskini kumbe ni vitu vidogo vidogo

Shuka na mimi leo
[UZI]
#ElimikaNaJacton

1. Jitahidi kuwa nadhifu wa mavazi na unapokutana nae mara kwa mara uwe smart na unukie vizuri
Usiende na harufu yako ya kibeberu utamkosa mtoto mzuri fala wewe.

2. Mfanye huyo mwanamke awe na furaha mara kwa mara (ndo maana uwa tunaulizwa kama bado unamchekesha au la
)
Mwanamke anapenda sana mwanaume ambae yuko charming sio unaleta ukauzu wako wa kikurya.

3. Ongea ki-smart zaidi na usimfanye aone kero kukaa na wewe na kupiga nae stori.
Kama ni dating basi mtolee maneno mazuri yenye kumfanya ajihisi anapendwa na sio kuongeaongea kauli za kidwanzi ukiwa na binti mzuri unadhani upo na mshikaji mwenzako

4. Mfanyie vitu vidogo vidogo vya kumfanya ajione wa thamani k.v
▪︎mkienda kwenye dating basi jitahidi ulipe bill
▪︎mtengee kiti wakati anataka kukaa
▪︎mfungulie mlango wa nyumba au gari (kama unalo)

5. Jiamini
Mwanamke anapenda mwanaume ambae anajiamini na uoneshe kujiamini ili asikuone kama janja janja (hata kama ni hit and run)
Ukimuonesha kujiamini basi una nafasi kubwa ya kuuteka moyo wake.

6. Usiwe mtu mwenye haraka
Tunasema acha mambo "yajiseti" kwani ukionesha haraka haraka basi atakuona ni mwizi kama wezi wengine (make lazma atakuwa kakutana na mwamba alomzingua)

7. Mheshimu sana mwanamke huyo
Hii ni kumpa nafasi na ya kujieleza anapoona unastahili kuyaskiliza yale ya moyoni mwake hivyo mpe hiyo nafasi na uyaheshimu mawazo yako
Hii itamfanya ajione wa thamani na unaweza ukajikuta unambeba kiurahisi

8. Kuwa karibu nae mara kwa mara
Jitahidi sana kama anahitaji kukuona uwepo tayari kuonana nae na kupiga stori kwani kutamfanya awe huru hata kujieleza
Ukaribu unaweza ukamfanya hata akatemana na mtu mwenye gari na akakufuata kapuku mwenzangu kwa sababu ya kumjali

9. Kuwa romantic
Mfanyie vitu vidogo vidogo vya kumfanya afurahi kama vile
▪︎kutembea umemshika mkono
▪︎mchukulie hata pipi
▪︎mchukulie maua
▪︎mtumie jumbe nyingi nzurinzuri ukiambatanisha maneno kama vile "nakupenda" "wewe ni mzuri" "una thamani kwangu"

10. Jitahidi kuwa flexible (asiweze ku-predict) njia zako unazotumia mara kwa mara hivyo unakuwa unamletea ujuzi mpya mpya mpala mwenyewe ashangae na awe excited kujua njia mbali mbali zaidi na utamfanya awe karibu na wewe.
Cc: @Fact
Cc: @Fact
Mwisho kabisa:
Ukifanya hivyo kwa mmoja ukaona haelewek basi unahamishia mafaili kwa mwingine mpaka tunahakikisha kombe tumelibeba na unaacha kuwa single na kujikuta motivator

Tafuta mtoto mzuri ufurahie maisha (cheza kwa usalama)
Nawa Mikono Yako. Corona ipo.