TAYLOR& #39;S GANG
Kama zilivo rec lebel nyingi za mastaa najua hii sio kitu kigeni kwako
TAYLOR& #39;S GANG OR DIE (TGOD)
Kama mwenyewe Wiz khalifa anavopenda kuliita
Hii lebel iliundwa mwaka 2008 na Rapper Wiz Khalifa

Ni zaidi ya lebel kwa jinsi inavofanya kazi zake kwani imekua signed na Atlantic Rec
Ikiwa na wasanii kama
Wiz khalifa mwenyewe Rapper Juicy J,Ty Dollar Sign,Project Pat,Dj Bonics,Chevy Woods,Berner pamoja na maproducer wao Sledgren na TM88

Neno Taylor& #39;s limetokana na Taylor Allderdice High School hii ni shule aliosoma Wiz khalifa
Na ilikua ni zaidi ya family kwa namna walivomsupport
Pia neno Taylor& #39;s kwa mujibu wa Wiz kutokana na kuvihusudu sana zile raba za kijanja muda wote Converse/All star

Likitoka kwenye logo ya Converse Chuck Taylor& #39;s All Star na amefanya Hivi kama appreciation kwao
Lengo la kuunda lebels nadhani linajulikana
Kuanzia album ya Rolling Papers 1 ya mwaka 2011,O.N.I.F.C 2012,Blac Hollywood 2014 mpaka Rolling Papers 2 ya mwaka 2018

Kazi zote zilifanyika chini ya Taylor& #39;s Gang na sio yeye tu Bali kwa members wote wanalounda kundi hilo usimamizi safi unafanya kila mmoja ang& #39;are katika angle yake
Hii nmeileta kwa sababu Hivi majuzi tu Wiz khalifa alikua na mpango wa kumsign mtoto wake Sebastian (Bash)

Kwenye lebel hio bash mwenye miaka 6 tu Kumbuka kwa Mara ya kwanza anaonekana kwenye video ya Zoney ya mwaka 2016
Na mwishoni wiz khalifa anamwambia baadhi ya maneno kisha Bash akawa anayarudia kuyasema likiweno neno Taylor& #39;s Gang.