Ukimweka chura kwenye maji na ukaanza kuyachemsha maji, kadri joto la maji linavyozidi mwili wa chura utakuwa unajibadili joto lake pia kuendana na lile la maji.Chura ataendelea kuongeza joto la mwili wake kadri maji yanavyozidi kuchemka.
Maji yatakapochemka sana
Maji yatakapochemka sana
(yakifikia boiling point), chura hataweza tena kuongeza joto lake ili liendane na la maji hivyo ataamua kuruka nje.
Chura atajaribu kuruka lakini hatoweza, kwa kuwa atakuwa amepoteza nguvu nyingi wakati akibadili joto la mwili wake pale awali ili kuendana na joto la maji…

Hivyo hatimaye chura atakufa.
Nini kimemuua chura?
Wengi mtasema kauawa na maji ya moto…
Lakini ukweli ni kuwa kilichomuua chura ni kukosa uwezo wa kuamua mapema kuruka nje ya maji.
Lazima tujifunze jinsi ya kubadilika kulingana na watu na matatizo yanayotuzunguka kila

siku.
Tukiruhusu watu kutuvuruga kimwili, kiakili, kihisia, au kifedha basi wataendelea kufanya hivyo daima…
Tunatakiwa kuamua kuruka nje ya maji.
Tunatakiwa kuruka kabla maji hayajachemka sana.