Leo nawapa trick hii apa “DOWNLOAD SERIES“(Episode after Episode) directly bila kuwa na extra software au app kwenye COMPUTER au SIMU (ios / android). Au kuwa na website fulani yenye step kadhaa adi ufikie hatua ya kuweza kushusha series.
Thread
Thread


(a) Ingia Google then search “Index of -ikifuatiwa na jina la series” Mfano: “Index of God Friended Me S02” then Search!!
(b) Fungua link ya kwanza kabisa itakayo tokea kwenye results za google search. Ukifungua Link hiyo zitakuja episodes directly au itakuja kwanza option ya kuchagua resolution (inategemea na link itakayo anza)
Sio links zote zifanane na hiyo, ila kama itafunguka mfumo wa hiyo nlioitaja, then ni sahihi. Ila series nyingi especially zile ambazo zipo complete season ndio zinakua rahisi mno kuzipata kwa njia hii.
(d)Sasa ukisha fungua link na Episode zikaja, wewe chakufanya ni kubonyeza tu hyo episode na zitaanza kushuka zenyewe, yani moja kwa moja utazikuta zipo upande wa “Downloads” zinaingia
Hii process ni kwenye device zote za simu na computer (Mac ios??)

Hii process ni kwenye device zote za simu na computer (Mac ios??)
Kwa wale wenye iphones yani mfumo wa (ios) kwa Safari browser yani hiyo ya apo chini kwenye picha, ukifata hii process haito-download ila ita play online au isicheze kabisa, sasa chakufanya ni hivi.......
(a) Download application kutoka App Store inaitwa “DOCUMENTS by Riddle” hii ni common sana nadhani wengi wanaotumia ios wanaifahamu hii app, ni mwisho wa matatizo ya downloads kwenye iphone. App yenyewe ni hiyo kama inavonekana apo chini.
(b) Basi ukiipakua hiyo app (saivi ndio nimekumbuka Download kwa kiswahili ni Kupakua
) Fresh basi tuendelee..........ukiifungua italeta folders kama inavoonekana apo chini.


(c) Sasa achana na hizo folders unazoona apo, wewe nenda chini kwenye screen upande wa KULIA, utaona alama ya kama ya SAFARI BROWSER (COMPASS yani DIRA ) (Ona picha chini) bonyeza apo na direct browser itafunguka.
(d) Apo uta-search kama kawaida na utaweza kufanya Downloads kwa process ile ile kama ya device zingine (android/windows) Angali video chini
Kumbuka, kuona downloads zako kiurahisi na kuweza kuona episodes zako, rudi kwenye folders (Touch apo kwenye alama ya MY FILES upande wa kushoto chini kabisa) hii kwa wale wa iPhone “Documents by Riddle App) then tafuta folder la downloads utazikuta humo

Kutoka apo basi utakua na uwezo wa kuangalia series kwa muda unaotaka wewe.
WALE WA iPhone (ios) IPO NJIA RAHISI YA KUTOA HIYO SERIES KUTOKA KWENYE HIYO APP (DOCUMENTS) NAKUHAMISHA VIDEO ZAKO KWENYE “GALLERY” YA SIMU

WALE WA iPhone (ios) IPO NJIA RAHISI YA KUTOA HIYO SERIES KUTOKA KWENYE HIYO APP (DOCUMENTS) NAKUHAMISHA VIDEO ZAKO KWENYE “GALLERY” YA SIMU
NA PIA KUTOA KWENYE GALLERY YA SIMU NA KUWEKA KWENYE COMPUTER YAKO
Ila hii ni tip ya siku nyingine.

PIA ILE THREAD ILIYOPITA YA KUWEZA KUANGALIA MOVIE ONLINE KWA GOOGLE DRIVE au GOOGLE DOCS, NI KWAMBA UWEZI STREAM MOVIE ZOTE, HASA RECENT ONES RANGING (2020-2019) ZINAZOPATIKANA NYINGI NI 2018- KURUDI NYUMA NA PIA SIO ZOTE ZIPO. NLISAHAU ILI
