Nyie roho ikisita muwe mnasikia🤨

Kuna huyu manzi nlipokuaga field kipndi hicho tulikua neighbours na yeye alikua field pia.for almost mwezi mmoja na nusu ilikua ni kusalimiana basi. In short tukaja kuzoeana mixer kuniomba series au kuja kabisa room na chakula mpaka night kali
Manzi ni ile imejazwa proportional...wowowo zito ile..yani ni ile ukiona am sure lazima mshtuane..
Siku manzi akakata kauli kunialika kwa sis wake awe host nami sikuvunga..kusema ukweli mwenyewe nilikua namtamani.
Nimeenda kwao hadi kigiza nakumbuka tulikua tunachek Big brother
Manzi ikanivuta kula sana makiss kwenye msofa..nguo za juu zishatupwa uko ila mwana akilini roho inasita dada ake akitukuta itakuaje???af ndo mida mibovu..
Mwana nikajizatiti nikasitisha maandalizi nikamwambia hapa noma..af zana sina ila ukitaka game njoo kesho gheto
Manzi alimaindi kichzi...kesho yake hakuja..txt sijibiwi..calls hazipokelewi..chakula kikawa hakiletwi..mwana nikanuniwa.. Field ikaishaga tukaja kuonana Dar viwanja ila tukachuniana maana kila mtu alikua na mtu wake
Juzi zinapigwa stori wana wanaongelea manzi flani kavuta af kaambukiza machizi kibao HIV, alikua nao tangu utoto...watu waliopitia huko vilio mbaya..
Picha inafunguliwa ni yule MANZI

Maneno mawili yaliniokoa
"TUTAFANYA KESHO"

Wazee nimeenda kutoa sadaka ya shukrani ya pekee
You can follow @crazyTanzanian.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: