(1)Udart husikeni;- kuna shida Kubwa sana ya usafiri hapa jijini, hasa baada ya kuhodhi hii barabara ya Morogoro Road na kuwazuilia daladala kufanya kazi kwenye hii route, sasa matokeo yake, baada ya kutokea huu Ugonjwa wa (corona) mabasi yanapakia abiria kwenye viti Tuu na siyo
(2)siyo zaidi ya hapo, Ni vizuri na inafurahisha sana, Kama ilivyo huko Kwa wenzetu NAIROBI (matatu) Mimi Hoja yangu Kubwa ni sababu gani haya mabasi ya mwendo kasi kusimama Kwa wingi kiasi hiki huko gerezani, au kuna mgomo baridi? Tuseme kwamba HATUNA fundi mkuu Mwenye uelewa,
(3) Kama Fundi Ni mwelewa, basi anakosa ushirikiano na wahasibu wakuu, wanakuwa bahili wa kutoa fungu kubwa la kuagizia spare za "STOCK" Fundi anaye fahamu maana ya "UNDER CARRIAGE" lazima awe na stock ya Stabilizer Bushes Kwa wingi. tie rods, ball joints, tyre bearings,
(4) brake drums, Brake linnings, tyres and tubes, batteries, self starters, air cleaners, oil filters and fuel filters, Hydrolic pipes, electric control boxes, pamoja na kile chombo cha program, lakini hata kuweka ENGINE mpya 10 za akiba, diff 5 za Akiba, transmission gear box 5
(5) hivyo nilivyo vitaja Ni vitu vinavyo takiwa Kwa tahadhari kwani mabasi yenyewe yameshamaliza ule muda wake wa upya, vikiwa pale STORE na kukatokea break down vinachukuliwa na kupachika na basi halitaweza kukaa chini kusubiri spare yake iagizwe, Fundi Mkuu Hiyo ndiyo kazi yako
Fundi mkuu HAKIKISHA kuwa na Radiator za akiba. Radiator hose pipes, Injector nozzles, crankshafts, con-bearings na Main bearings. All sizes, crankshaft seals rear and front, Lowe gasket kit, upper gasket kits, grinding valves, seat valves, Piaton rings, sleeves, rubber bands sea
Fundi mkuu HAKIKISHA hivyo vitu tajwa na vinginevyo ambavyo havikutajwa, uwe navyo STOCK Kama hawakupi ushirikiano, na Fedha. Utaonekana hujui kazi yako. Bora uondoke, uachane na lawama, na uonekane hufahamu kazi yako, Kwanj SCANIA, Mantrc (caterpillar) wanawezaje kuwa na stock
(8) Fundi Mkuu unatakiwa uwe Kama dakitari ambaye hataki kukaa na mgonjwa bila kumpa dawa, mwisho wake atakuwa anapata lawama kwa wenye naye, wakati fedha wanazo za kununua dawa, WEWE ni dakitari
You can follow @mushi_mzee.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: