1/Good morning. Bado tuna-discuss DATA MASSAGING na MISMANAGEMENT na virtues za AUTOCRACY? Kwanza Prof. Dkt etc... msome Amartya Sen yeye pia ni PROF lakini wa HARVARD. Wewe ni QUINTESSENTIAL example ya failures of AUTOCRATIC REGIMES. Why? https://twitter.com/kitilam/status/1245812285106466824
2/Sir you are a SQUARE PEG that is being stuffed into a ROUND HOLE. You have no experience of running a DEPARTMENT in a Ministry, neither are you QUALIFIED to do so, YET you have been AWARDED permanent secretary (top of the civil service food chain) in Ministry of WATER.
3/ Sir you are not qualified nor do you have experience to deal with the challenges of ensuring water is supplied throughout the country. You are a Prof of EDUCATION for goodness sake. Again stuffing a square peg into a round hole. Typical AUTOCRATIC behaviour
4/Now to facts and figures:Unasoma REPORTS kweli? Clearly Ripoti ya CAG dhidi ya Wizara yako MISSED your desk. Je umesoma Ripoti ya World Bank ya 2019?
5/Wacha nikudokeze KIDOGO tu maana hii Ripoti HUKAISOMA. Uende kuisoma. 16% ya waTZ wana mabomba ya maji majimbani. Kutoka 2012 mpaka 2018, watu vijijini wenye ma Bomba ya maji majumbani imetoka 3% mpaka 5%. Miaka 6 ya CCM that is the BEST you could do? Really?
6/Improved Drinking Water
2012. 2018
Tanzania. 45%. 51%
1% Improvement per year. 🤣mkiendelea hivi itachukuwa miaka 49 kuwa na IMPROVED DRINKING WATER (si mabomba majumbani) kwa kila mTZ. You are not SERIOUS at all. 🤣🤣
7/Piped water outside Dwelling
2012. 2018
Tanzania. 8% 7%
Tangu 2012 mumezidisha mabomba ya maji ya nje kwa 1%. 🤣🤣🤣 I am going to be FRANK with you, if you were working for a multinational the board would have fired you.
8/Tatizo la AUTOCRACY:
1. Ina employ watu wanaotaka KUUNGA MKONO JUHUDI bila ya EXPERIENCE na KNOWLEDGE in the relevant sector;
2. Haitaki UKWELI, Kwa hivyo ni KAWAIDA ya waunga MKONO kuMASSAGE DATA ili kumfurahisha MKUU;
3.Ili UWONGO uendelee kushamiri, UHURU wa KUSEMA unafungwa
9/ AUTOCRACY na KUUNGA MKONO juhudi imeZIDISHA watu maskini #Tanzania. Kipato cha watu 14m ni chini ya TZS 49k kwa mwezi. Tangu meanza na #hapakazitu watu takriban 1.2m wamezidi UMASKINI! Kwa hivyo tukichukuwa MFANO wenu wa AUTOCRACY: IT’S “F” for FAILURE!
Personally I think you would serve the country BETTER in your area of EXPERTISE: EDUCATION. Have a wonderful day.
You can follow @fatma_karume.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: