Majina kamili na fahamika kama Aisha Wanjiku yule Malkia wa kizazi kipya. Mimi ni mtangazaji hodari ikija maswala ya mziki na burudani kwa jumla. Natokea nchi ya Kenya, Afrika. Na hizi ndio baadhi ya kazi zangu ningependa zijulikane kwote na watu wote.

RT nitashukuru💚
Yataka kujituma na nina imani nitaendelea kukuza talanta yangu.
Kiswahili kitamu tuipeleke worldwide 💯
Huwa watu wengi sana wanahusika upande wa production kufanikisha show. Hapa @KIZANairobi walitualika kwao 🥰🥰🥰
Ikija katika mambo ya mapishi pia mimi si mchache. Nitakutayarishia mbwembwe na sheshe katika sufuria moja matokeo utakoma wewe hehe😂😂😂
You can follow @AishaWanjiku_.
Tip: mention @twtextapp on a Twitter thread with the keyword “unroll” to get a link to it.

Latest Threads Unrolled: