So nimeandaa ki thread kidogo kuonyesha safari yangu ya mafanikio kupunguza uzito kutoka Kg 103 mpaka kg 65 kwa miezi 4 safari hii ilianza 18/8/2018
Picha nikiwa na Kg 103
Tarehe:4/8/2018
Picha nikiwa na Kg 103
Tarehe:4/8/2018
Tarehe 18/8/2018 nikachukua uamuzi wa kuanza Diet na jogging asubuhi moja ya uamuzi bora maishani.
Diet:
Nikaacha vitu vyene Sukari (Soda,Juice za box,Chai)
Nikapunguza kiasi cha wanga
Nikaongeza kiasi cha maji mwili kila siku Lita 4-5
Nikaongeza kiasi cha matunda jioni
Diet:
Nikaacha vitu vyene Sukari (Soda,Juice za box,Chai)
Nikapunguza kiasi cha wanga
Nikaongeza kiasi cha maji mwili kila siku Lita 4-5
Nikaongeza kiasi cha matunda jioni
Zoezi:
Nilianza Km 5 kukimbia na kutembea zamani nilikua nacheza mpira haikua ngumu sana sema kupata pumzi ndio ilikua shida mwanzoni,Nilikimbia na kutembea nikichoka hadi mwili ukazoea baada ya week 3 za mwanzo
Picha hii ni Tarehe 4/10/2018
Miezi kama miwili KG 85

Baada ya kupata Pumzi sasa nikaweza kukimbia Km hadi 8 bila kupumzika,Nilihakikisha kila siku nakimbia iwe safarini mkoani ama niko maeneo niliyo zoea.
Picha hizi moja ni Dec 7 nyinine Dec 8 2018
Uzito:Kg 68
#TOTbonanza
Picha hizi moja ni Dec 7 nyinine Dec 8 2018
Uzito:Kg 68
#TOTbonanza
Mwaka ukaisha niko fit mwili umepungua kuingia 2019 bado nimendelea na mazoezi na diet nikipata wasaa nimeweza ku maintain kg zangu 65-68 kuanzia Jan 2019 to May 2019
Kuanzia Feb 20 2019 nilianza tumia app ya Strava kurekodi activities zangu za jogging
Kuanzia Feb 20 2019 nilianza tumia app ya Strava kurekodi activities zangu za jogging
Toka wakati huo nimekimbia Km 517 kwa siku 91 ambazo nilifanikiwa kukimbia na kurekodi kwa kutumia app japo kuna siku nimekimbia bila kurekodi
Leo nimekimbia km 3.8
Nahakikisha kila siku nifanye japo zoezi kidogo.
Leo nimekimbia km 3.8
Nahakikisha kila siku nifanye japo zoezi kidogo.
Safari yangu hii imehamasisha baadhi ya watu mtaani kwangu kujoin challenge yangu kuwapa mbinu za kupunguza uzito bila gharama kubwa za kwenda Gym,Kutumia madawa kukata tumbo.
Karibu kwenye safari yangu hii ya mafikino ikiwa leo June 1 2019
Safari hii itaendelea.

Karibu kwenye safari yangu hii ya mafikino ikiwa leo June 1 2019
Safari hii itaendelea.