WE CHAT APP YA CHINA INAYOISUMBUA WHATSAPP
Hapo China kuna kitu kinaitwa C2C yaani Copy2China.
Hii ni project ya China ya kunakili project zote kubwa zinazofanyika duniani.
Kilichofanyika kwenye WeChat ni zaidi ya kucopy#FLowMaTaTa
WhatsApp ilianzishwa 2009 na Bw. Brian Marekani, Mark mmiliki wa Facebook akainunua.
Kule China hii WhatsApp ilifungiwa mapema, serikali ikiwa inaamini moja kwa moja inatumiwa na serikali ya Marekani kuspy taarifa za watu.
2011 Kampuni ya TenCent
ambayo haitofautiani na Facebook akaanzisha hii app ya WeChat inayofanana moja kwa moja na WhatsApp.
Kwenye hizi karata ChaoKamaChao akalamba jocker.
WhatsApp ina watumiaji bilioni 1.5 ulimwenguni, WeChat ina watumiaji milioni 900+ ulimwenguni.
%kubwa inatumika China.
Kwenye hizi karata ChaoKamaChao akalamba jocker.
WhatsApp ina watumiaji bilioni 1.5 ulimwenguni, WeChat ina watumiaji milioni 900+ ulimwenguni.
%kubwa inatumika China.
Wakati WhatsApp ikiwa na uwezo wa kutuma sms, picha, audio, video, status na kutengeneza magroup.
WeChat ina hivyo vyote hapo juu na wakaongezea vitu kama kufanya miamala ya kifedha ndani ya app yao.
Yaani hii app imekuwa msahada mkubwa kwa jamii ya watu wa uChina.
Watu wengi wanakutanishwa ndani ya hii app na kufanya biashara zao kwa upesi zaidi.
Njia zinazotumika kuamisha fedha ni WeChat Pay na AliPay.
AliPay ipo kama Visa na MasterCard.
Hii app inatoa pia huduma za usafiri kama Uber. Huwezi mueleza mchina kitu chochote
Akakuelewa kuhusu hii app.
Kuhusu masuala ya usalama mambo ni safi, maana hadi raia wa Marekani wanaitumia.
Serikali ya Marekani haijatoa tamko lolote la kuitilia shaka kama ilivyo kwa Huawei na TikTok (Uzi wake upo pending).
Kumbuka
WhatsApp pia wana app
Kuhusu masuala ya usalama mambo ni safi, maana hadi raia wa Marekani wanaitumia.
Serikali ya Marekani haijatoa tamko lolote la kuitilia shaka kama ilivyo kwa Huawei na TikTok (Uzi wake upo pending).Kumbuka
WhatsApp pia wana app
Yao ya pembeni inayoitwa WhatsApp Business.
WeChat inapatikana kwenye Android, iOS na kwenye Windows.
WhatsApp, Telegram na WeChat sio mitandao ya kijamii.
WeChat inapatikana kwenye Android, iOS na kwenye Windows.
WhatsApp, Telegram na WeChat sio mitandao ya kijamii.
China imeifungia WhatsApp lakini kuna watu baadhi waliopo China hutumia VPN kupumbaza mifumo ya China.
FLowMaTaTa zinakujuza kuwa; Kwa anayehitaji simu na Laptop kali awacheki hawa @BongosmartTz @BongosmartTz wapo smart sana
Read on Twitter